Halid Mwarabu

Chef niliebobea kwenye vyakula hasa vya asili ya Zanzbar. Ninao uzoefu wa miaka 15 kwa sasa.

Mimi ni mpishi wa vyakula vya asili ya Zanzibar. Ninao uzoefu wa takrbani miaka 15 sasa. Lengo langu ni kupata kazi itayoniwezesha kubadilisha hali yangu ya uchumi na wanao nizunguka. Lakini pia kukuza na kueneza tamaduni zetu kwa nchi nyingine nakuwafanya binadamu wote kuwa sawa bila kujali rangi jinsia au tabaka. Lengo kuu ni kuifanya Dunia yote kuwa yenye usawa kwa watu wote. Asanteni sana.

Last Resume Update November 14, 2023
Address Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
E-mail mwarabuu@gmail.com
Phone Number +255623085766

Contact Candidate